Tùkémbé ni shirika lisilokuwa la kiserikali linaloshugulika na usimamizi wa media, hasa zaidi kwenye biashara za media.
KAZI TUNAZO ZIFANYA
Tùkémbé tunatoa huduma mbalimbali za media, kama vile : Kurecodi nyimbo, kumanya video za mziki, kutoa filamu, kutengeneza matangazo mbalimbali, usimamizi wa wasanii, waigizaji na kadhalika.
Tunatoa huduma nyingi zinazoendana na uaimamizi wa vyombo vya habari(Media Management). kwa huduma zote bofya hapa.
MAKAO MAKUU
Tunapatikana Chicago, Illinois, USA.
Tunafanya Kazi nchini Marekani na Canada.
ANUANI
2061 W Birchwood ave #1, Chicago, IL 60645
800-506-8070
www.tukembe.com
contact@tukembe.com